Swahili | English   
 FAQs |  Useful Links | Site Map | Contact Us        
 
TANSOFT

Kitengo hiki kilianzishwa na Serikali kwa lengo la kuchambua na kuthaminisha almasi za mgodi wa Mwadui na kilikuwa kikifanya kazi zake huko London Uingereza tangia mwaka 1966. Tangu mwezi Octoba 2010, kitengo hiki kimehamia Nchini na kuongezewa majukumu kama ifuatavyo:

-         Kuchambua na kuthaminisha almasi  na vito vyote vinavyochimbwa Nchini.

-         Kuandaa,  kusimamia na kushiriki minada ya almasi na vito hapa nchini na nje ya nchi.

-          Kuhakiki bei za almasi na vito ili ziendane na bei za kimataifa.

-         Kuhakiki murabaha uliolipwa serikalini kutokana na almasi na vito vilivyouzwa nje ya nchi.

Kwa sasa kitengo kipo Plot Na. 1129 Barabara ya Chole, Masaki – Kinondoni. Kwa mawasiliano:     piga simu +255 (0) 2602797, nukshi +255 (0) 22 2602798 au e-mail ltansort@aol.com

 


 

   

   

  Programmes /  Projects /  Notices /  Tenders
Vacancies /  Speeches /  Photo Gallery
Features /  Statistics /  Research /  Investiment Opportunities