• Waziri Mkuu apongeza Wizara kujali wachimbaji wadogo

  Waziri Mkuu apongeza Wizara kujali wachimbaji wadogo

  Asema haijawahi kutokea Huduma za Ugani kwa wachimbaji hao zamfurahisha Awataka wachimbaji wadogo kuacha magendo Aiasa Wizara kuwa na kituo cha madini Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mizengo Pinda, ameipongeza Wizara ya Nishati na Madini kwa hatua za haraka na madhubuti inazochukua katika kuhawilisha (formalize) sekta ndogo […]

   
 • Bei mpya Madini ya Ujenzi kuanza Aprili 30

  Bei mpya Madini ya Ujenzi kuanza Aprili 30

  Kutokana na kuwepo kwa mabadiliko ya kiuchumi ikiwemo mfumuko wa bei, Serikali inatarajia kutangaza bei mpya za madini ya ujenzi katika Kanda ya Mashariki zinazotarajiwa kuanza kutumika kuanzia tarehe 30 Aprili, 2014 katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani. Hatua hiyo ilifikiwa katika kikao cha wadau kilichofanyika Machi 27, […]

   
 • Wizara ya Nishati na Madini na UNDP zasaini makubaliano

  Wizara ya Nishati na Madini na UNDP zasaini makubaliano

  Wizara ya Nishati na Madini na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Maendeleo la (UNDP) kwa pamoja zimesaini makubabaliano ya kutekeleza mradi wa kujenga uwezo katika sekta za nishati na miradi  ya madini. Aidha, mradi huo unashirikisha Chuo cha Uongozi, Wakala wa Umeme Vijijini (REA) na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu […]

   
 • Wananchi changamkieni Mradi wa REA – Kitwanga

  Wananchi changamkieni Mradi wa REA – Kitwanga

  Naibu Waziri wa Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati Mhe. Charles Kitwanga, amewataka wananchi waliopo katika vijiji vinavyopitiwa na Mradi wa kuunganisha Umeme Vijijini unaosimamiwa na Wakala wa Umeme vijijini (REA) kuchangamkia fursa hiyo wakati ambao mradi huo unatekelezwa kwa kuwa gharama zake ni nafuu. Mhe. Kitwanga aliyasema hayo jana wakati […]

   
 • Changamkieni fursa katika sekta ya Gesi – Balozi Sefue

  Changamkieni fursa katika sekta ya Gesi – Balozi Sefue

  Wananchi wa mkoa wa Mtwara wametakiwa kuchangamkia fursa zilizopo kutokana na kugundulika kwa kiasi kikubwa cha gesi katika mkoa huo kilichopelekea uwekezaji katika  viwanda ikiwa ni pamoja na kiwanda cha kusafisha gesi. Hayo yalisemwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue aliyekuwa katika ziara ya siku mbili katika mikoa ya […]

   
 • Wachimbaji wadogo wahimizwa kulipa kodi

  Wachimbaji wadogo wahimizwa kulipa kodi

  Serikali imepoteza mapato mengi kutokana na kuwepo kwa  wachimbaji wadogo wasiofuata taratibu za umiliki wa leseni za madini. Akizungumza na waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam Kamishna wa Madini Mhandisi Paul Masanja amesema wachimbaji wadogo wamekuwa wakwepaji wakubwa wa ulipaji wa kodi za serikali. Alisema takwimu zinaonyesha kuwa kati […]

   
 • Kanuni 12 katika usimamizi bora wa Rasilimali

  Kanuni 12 katika usimamizi bora wa Rasilimali

  Gesi asilia ni moja kati ya rasilimali ambazo huisha mara baada ya kuvunwa kwa muda Fulani na hivyo kupelekea rasilimali kupotea na kubaki katika historia kwamba kipindi fulani katika historia ya nchi kulikuwa na utajiri wa rasilimali gesi, au mafuta au madini n.k Haya yamebainishwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi […]

   
 • Kamishna wa Madini kufuta Leseni

  Kamishna wa Madini kufuta Leseni

  Kamishna wa Madini katika Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Paul Masanja amesema wachimbaji wenye leseni ambao hawajaendeleza maeneo yao watafutiwa leseni zao mara moja. Mhandisi Masanja aliyasema hayo ofisini kwake katika mahojiano maalumu na MEM Bulletin  na kuongeza kuwa wachimbaji madini ambao hawajaendeleza maeneo yao watafutiwa leseni zao mara […]